dcsimg

Mdudu Shingo-ngamia ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Wadudu shingo-ngamia ni wadudu wakubwa kiasi wa oda Raphidioptera (raphio = sindano, ptera = mabawa) walio na shingo kama ngamia au kama nyoka (snakefly). Mabawa yao ni kama yale ya wadudu mabawa-vena, oda ambaye ndani yake wadudu hawa waliainishwa zamani. Wao ni wadudu mbuai na hula wadudu wengine wadogo, k.m. vidukari na matitiri. Hata lava hula wadudu wengine, mayai na lava hasa.

Wadudu hawa wanatokea katika misituni ya Nusudunia ya Kaskazini. Kuna spishi tatu tu za wadudu shingo-ngamia katika Afrika kaskazini kwa Sahara. Hawatokei kusini kwa Sahara.

Spishi za Afrika

  • Africoraphidia spilonota
  • Harraphidia harpyia
  • Mauroraphidia maghrebina

Picha

Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Shingo-ngamia kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Crystal Project Babelfish.png Makala hiyo kuhusu "Mdudu Shingo-ngamia" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mdudu Shingo-ngamia: Brief Summary ( Swahili )