dcsimg

Mgunga ( свахили )

добавил wikipedia emerging languages
 src=
Miiba ya mgunga homa (V. xanthophloea)

Migunga ni miti ya jenasi Vachellia katika familia Fabaceae yenye miiba mirefu kiasi na majani yenye sehemu nyingi. Zamani spishi hizi ziliainishwa katika jenasi Acacia lakini wanasayansi wamegawanya jenasi hii kwenye jenasi tano: Acacia, Vachellia, Senegalia, Acaciella na Mariosousa[1]. Spishi za Vachellia zina miiba miwili mirefu na nyofu kwenye kila kifundo. Miti hii inatokea maeneo kavu ya Afrika, Amerika, Asia, Australia na Ulaya (imewasilishwa).

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Marejeo

  1. The Acacia Debate. Science In Public (2011). Iliwekwa mnamo 2011-08-03.
лиценца
cc-by-sa-3.0
авторски права
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
изворно
посети извор
соработничко мреж. место
wikipedia emerging languages

Mgunga: Brief Summary ( свахили )

добавил wikipedia emerging languages
 src= Miiba ya mgunga homa (V. xanthophloea)

Migunga ni miti ya jenasi Vachellia katika familia Fabaceae yenye miiba mirefu kiasi na majani yenye sehemu nyingi. Zamani spishi hizi ziliainishwa katika jenasi Acacia lakini wanasayansi wamegawanya jenasi hii kwenye jenasi tano: Acacia, Vachellia, Senegalia, Acaciella na Mariosousa. Spishi za Vachellia zina miiba miwili mirefu na nyofu kwenye kila kifundo. Miti hii inatokea maeneo kavu ya Afrika, Amerika, Asia, Australia na Ulaya (imewasilishwa).

лиценца
cc-by-sa-3.0
авторски права
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
изворно
посети извор
соработничко мреж. место
wikipedia emerging languages